Showing posts with label udaku. Show all posts
Showing posts with label udaku. Show all posts

Sunday 28 December 2014

DIAMOND NA ZARI WALIVYOTUA NCHINI BURUNDI

Diamond na Zari wakiwa 'close' wakati wa safari yao ya kuelekea Bujumbura.
Diamond, Zari na baunsa wa Diamond maarufu kwa jina la Mwarabu baada ya kutua Uwanja wa Ndege wa Bujumbura, Burundi jana.
Diamond na Zari wakipokelewa katika Uwanja wa ndege wa Bujumbura jana.
BAADA ya shoo kali aliyoidondosha Dar Live katika Sikukuu ya Krismasi, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akiwa na mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan 'Zari' jana walitua nchini Burundi tayari kwa shoo itakayofanyika leo.
Staa huyo leo atakuwa na shoo katika Uwanja wa St. August, Burundi. Baada ya shoo hiyo, Diamond atakuwa na shoo nyingine Mwaka Mpya nchini Rwanda ambapo Januari 8 atapiga shoo nyingine nchini Nigeria.
Staa huyo kuzidi kuonyesha kuwa ni mahiri katika muziki, jana amejinyakulia tuzo nyingine ya Mwanamuziki Bora wa Kiume Afrika Mashariki kutoka Tuzo za Afrima 2014 zilizotolewa jijini Lagos nchini Nigeria.
Mtandao huu unaendelea kumpongeza staa huyo kwa juhudi zake na kumtakia kila la kheri katika kazi yake.
+

DIAMOND, VANESSA WASHINDA TUZO ZA 2014 AFRIMA HUKO NIGERIA


Vanessa Mdee akiwa na tuzo yake ya Best Female Artist in East Africa.
Peter Msechu akiwa amebeba tuzo kwa niaba ya Diamond Platnumz.
Peter Msechu, Vanessa Mdee na Victoria Kimani katika pozi huko Lagos, Nigeria.
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa kuamkia leo ametwaa tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kiume Afrika Mashariki (Best Male Artist in East Africa) kutoka Tuzo za 2014 AFRIMA zilizofanyika huko jijini Lagos nchini Nigeria.
Mwanadada Vanessa Mdee yeye ameshinda tuzo ya Mwanamuziki Bora wa Kike Afrika Mashariki (Best Female Artist in East Africa).
Tuzo ya Diamond imepokelewa na mwanamuziki Peter Msechu aliyekuwepo katika zoezi hilo la utoaji tuzo maana na yeye alikuwa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania tuzo hizo.
+

Wednesday 17 December 2014

Exclusive Photos: Diamond and Zari in Uganda for Zari's White Party....Tomorrow



+

MAINDA AINGILIA TIMBWILI LA MDOGOWE



STAA wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’, Jumapili iliyopita alijikuta akigeuka baunsa wa kujitegemea na kuamulia ugomvi ambao unadaiwa kuwa chanzo chake ni mdogo wa mwigizaji huyo, Rose Peter ‘Muna’.
Mtangazaji wa Clouds TV, Castro Dickson.
Kwa mujibu wa chanzo makini, kwenye tukio hilo lililotokea katika Hoteli ya Lamada, Ilala jijini Dar, uliibuka ugomvi kati ya mwanamuziki wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Kalala Junior na mtangazaji wa Clouds TV, Castro Dickson ‘Mwananchi wa Kawaida’ wakimgombea Muna.
“Kulikuwa na sherehe ya mtoto wa mdogo wake Muna, Kalala ambaye ni mpenzi wa sasa wa Muna pamoja na Castro ambaye aliwahi kuwa x wa Muna huko nyuma, naye alialikwa, sasa walipokutana, mambo yakaharibika, shughuli ikawa pevu, wakataka kukunjana, ndipo Mainda akaingilia kati,” kilisema chanzo chetu.
Mdogo wake Mainda, Muna akiwa na Castro Dickson.
Chanzo hicho kilizidi kumwaga ubuyu kwamba, ugomvi huo uliibuka mara baada ya Castro kuonekana akiteta chobingo na Muna ndipo Kalala ‘akamaindi’ na kuagiza mtu amuite ‘bebi’ wake huyo ili kumuondoa mikononi mwa Castro.
“Muna alitii amri ya bebi wake, akamfuata eneo alilokuwepo, huku nyuma uvumilivu ukamshinda Castro, akamfuata Muna katika eneo alilokuwepo na kuanza kurusha matusi ya nguoni kwa mbali, huku akimfuata Kalala ili ampige.
Mwanamuziki wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’, Kalala Junior.
“Bahati nzuri Mainda aliingilia na kumdaka mkono Castro kisha kumuondoa mahali hapo. Nimeshangaa kuona Mainda ana nguvu utafikiri mwanaume, kamtaiti Castro akamsindikiza kwenye gari lake, akatokomea kusikojulikana na kumuacha Muna akiteta na Kalala,” kilisema chanzo.
Hadi chanzo chetu kinaondoka eneo hilo, hali ilikuwa shwari hususan baada ya Castro kuondoka na bahati nzuri bethidei ilikuwa imeshafikia kikomo, waalikwa wote wakarudi makwao.
+

CHUCHU HANS ACHARUKA MADAI YA USALITI



KIMENUKA! Msanii wa filamu, Chuchu Hans ambaye ni mpenzi wa wa nguli wa filamu Bongo, Vicent Kigosi ‘Ray’, amecharuka ishu ya kumsaliti mpenzi wake huyo na jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.
Msanii wa filamu, Chuchu Hans.
Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi anapoishi kijana huyo.
Hata hivyo paparazi wetu aliamua kumvutia waya Chuchu na kuzungumza naye ishu hiyo ambapo alidai stori hizo zinasambazwa na watu ambao lengo ni kutaka kumchafua kwa mpenzi wake Ray.
“Watu hawapendi kuniona natoka na Ray na ni hao ndiyo wanaotumia muda mwingi kutaka kutuvuruga. Siwezi kufanya hivi na huyo jamaa sijui wa Mbezi kwanza simfahamu na pili jamii haitanielewa nikifanya hivi,” alisema Chuchu.
+

WABONGO WAMFUTA MACHOZI MISS TZ



SIKU chache baada ya kupatikana kwa mshindi wa Shindano la Miss World 2014, imethibitika kuwa Wabongo walimfuta machozi mshiriki wao, Happiness Watimanywa kwa kumpigia kura nyingi zilizosababisha kuingia hatua ya Kumi Bora ya Chaguo la Watu (People’s Choice).
Happiness Watimanywa akiwa na mrembo wa dunia Rolene Strauss wa Afrika Kusini.
Kwenye shindano hilo lililofanyika Jumapili usiku huko London nchini Uingereza, ambalo Rolene Strauss wa Afrika Kusini aliibuka kidedea, watu wengi hawakushangazwa na matokeo hayo.
Wakizungumza na mwandishi wetu kwa nyakati tofauti, wadau mbalimbali wa masuala ya urembo walimtaka Miss huyo kujipongeza kwa hatua aliyofikia kwani kama suala la kupiga kura, wengi walijitolea na ndizo zilizosababisha aingie katika Kumi Bora ya People’s Choice.
“Asijali, tuko nyuma yake na tunampongeza kwa hatua aliyofikia. Mashindano ya urembo katika ngazi ya dunia yana changamoto nyingi hivyo kwa pamoja tunajipongeza maana safari hii Wabongo wameamka na kujitoa sana kupiga kura,” alisema mmoja wa wadau 
+

SHILOLE: KUNA WATU WANATAMANI KUNIUA


MSANII wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ambaye pia anafahamika kama Shishi Baby, amesema baadhi ya watu wana chuki naye kiasi kwamba wanatamani kumtoa roho kwa kutopenda mafanikio yake.
Msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Akipiga stori  mara baada ya ziara yake ya kimuziki barani Ulaya, Shishi Baby alisema katika mitandao ya kijamii, alizushiwa kuwa alienda huko akiwa na mwanaume badala ya ukweli kwamba alifuata shoo katika miji tofauti.
“Yaani watu wana roho mbaya sana, wanatamani nikiwa nimepanda ndege waitungue nife na ndiyo maana wanazusha, namuomba Mungu sana maana maadui wanazidi kila kukicha kisa maendeleo yangu tu,” alisema.
+

AISHA MADINDA AFARIKI DUNIA!


 
Aisha Madinda - enzi za uhai wake.
Aisha Madinda - enzi za uhai wake alipokuwa stejini.
 
Aisha Madinda - enzi za uhai wake akitambulishwa na Ally Choki alipojiunga na Extra Bongo.
ALIYEKUWA mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka amethibitisha kutokea kifo hicho na kuongeza kuwa mwili wa marehemu kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
+

LAAANAAAAAAAA..........!!!!!!!!!!!!!!!!!! DENTI APIGA ZA UTUPU GESTI!

AIBU ilioje! Denti wa chuo kimoja jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Martha, amepiga picha akiwa mtupu katika nyumba moja ya kulala wageni iliyopo Tabata, ambako alikwenda akiwa na nguo za shule, tukio linalodaiwa kutokea hivi karibuni.
Denti wa chuo anayefahamika kwa jina moja la Martha akiwa mtupu kitandani.
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, picha hizo ziliwekwa katika mtandao mmoja wa kijamii makusudi na bwana’ke, anayedaiwa kuwa ndiye aliyempiga kwa ridhaa yake mwenyewe kabla ya kukorofishana.
Inadaiwa kuwa picha hizo ambazo zimekuwa zikisambaa kwa kasi katika blogs karibu zote nchini, hatimaye zilimfikia msichana huyo anayedaiwa kuishi Tabata, ambaye kwa aibu, alimtumia msichana mwingine.
Picha ya Martha ya utupu akiwa bafuni.
Baada ya Martha kumtumia msichana huyo aliyejitambulisha kwa jina la Lilian aliyedai kuwa ni dada yake, akimlaumu mmiliki wa mtandao kwa kuzirusha picha za mdogo wake bila kuuliza zilikotoka.
  Haya ni majibishano yaliyorekodiwa kati ya dada na mmiliki huyo, ambako Lilian alitishia kulipeleka suala hilo katika vyombo vya sheria, tishio ambalo lilikebehiwa.
“Usitutishe, hizi picha kazipiga mwenyewe kwa pozi tofauti, unataka sisi tufanyaje na aliyempiga ni bwana’ke, kwanza huu ni ulimbukeni na tunazisambaza makusudi ili liwe funzo kwa wengine wanaofanya ujinga huu,” alisema mmiliki huyo.
Martha akipozi bafuni bila haya.
Kutokana na aibu aliyoipata msichana huyo, taarifa kutoka chuoni kwao, zinasema akiwa na hofu ya picha hizo kuwafikia walimu na hivyo kuharibu sifa yake, amekuwa akiwaambia marafiki zake kuwa anafikiria kuhama.
+

BOZI,"NIMETEMBEA NA MASTAA 15".

Mamaaa! Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ameibuka na kuanika kijasiri kuwa ‘ameshambonji’ na mastaa wa kiume 15 wa Bongo huku akisema kitendo hicho hakijamuondolea hadhi yake
Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’.
Akizungumza katika mahojiano maalum mwa wiki iliyopita jijini Dar, Bozi alitamka hayo kwa kujiamini zaidi.Mahojiano kati ya msanii huyo na Risasi Mchanganyiko yalikuwa kama ifuatavyo:
Mwandishi: “Mzima Bozi?”
Bozi: “Mi mzima sana. Enhe! Karibuni  maana nasikia mmenitafuta sana, kuna nini?”
Mwandishi: “Tumeshakaribia. Sisi tunataka kufanya mahojiano na wewe kuhusu sanaa kwa ujumla, ugumu na wepesi wake.”
Bozi: “Oke, sawa.”
Fatuma Ayubu ‘Bozi’akipozi.
Mwandishi: “Oke, labda kwa kuanzia Bozi, umeshapambana na ugumu wowote kwenye fani? Kama vile kulazimishwa kuvaa nguo za hasara kutokana na ‘sini’ unayoigiza?”Bozi: “Bahati nzuri nguo tunazovaa kwenye ‘viwanja’ kujirusha ndizo hizohizo hata tunazovaa mtaani. Kwa hiyo hakuna ugumu wowote.”
Mwandishi: “Wasanii mnaoibukia siku hizi mnadaiwa mmevamia fani ili kuuza sura na kutafuta mabwana, hasa mapedeshee. Kuna ukweli?”Bozi: “Pengine wapo lakini mimi nimeingia kwenye fani kwa sababu ya msukumo wa kipaji changu na si kutafuta mabwana. Kama mabwana mbona wapo mastaa kibao nilishalala nao kabla.” 
Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz akipozi ndani ya Ofisi za Global.
Mwandishi: “Ziko habari kwamba, kila msanii mdogo Bongo anapoingia kwenye fani, ili atoke sawa lazima awe amegawa penzi kwa mastaa wakubwa, madairekta au maproduyza. Vipi wewe, imekutokea hiyo?”
Mwandishi: “Hapana! Sijawahi kuombwa penzi.
Ila kama nilivyosema, mapenzi yapo ndiyo maana nikasema kuna mastaa wakubwa tena wenye levo ya juu Bongo nimeshalala nao lakini si kwa sababu ili nitoke, walinipenda tu.”
Mwandishi: “Hebu tubaki hapo kwa muda! Hao mastaa unaweza kuwataja kwa majina?”
Bozi: “Sidhani kama nitaweza, lakini ni mastaa wakubwa, si wa filamu tu, wengine ni wa Bongo Fleva. Tena wapo ambao ni waume za watu.”
Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba ndani ya Ofisi za Global.
Mwandishi: “Wangapi?”
Bozi: “Hao waume za watu au mastaa kwa ujumla. Kama ni mastaa wote niliowahi kulala nao ni kumi na tano.“Lakini naomba ijulikane na jamii kwamba, hiyo haiwezi kushusha hadhi yangu. Kibaya ni kama ningekuwa nawapanga wanaume foleni lakini mimi nilikuwa na mmoja, nikiachana naye ndipo naanzisha uhusiano na mwingine.”
KUHUSU UKIMWI
Msanii huyo alipoulizwa kuhusu orodha hiyo ndefu ya wanaume katika zama hizi zenye magonjwa mengi, alisema haofii maradhi yakiwemo ukimwi kwa vile anajilinda vyema.
AMZUNGUMZIA DIAMOND
Mwandishi: “Katika hao mastaa wakubwa Bongo yupo Diamond?”
Bozi: “Diamond ni kijana mzuri kwa mwanamke yeyote anayejitambua lazima avutiwe naye, kama Mungu amepanga niwe naye kimapenzi hilo halitaweza kupingika kwa sababu ni kijana mzuri ananivutia mno, naamini ipo siku atakuwa wangu.”
Bob Junior akiwa kazini.

Kwenye orodha ya wasanii ambao mwandishi aliwaingiza kichwani kwamba wanaweza kuwa wao, si kwa tabia zao bali kwa ukubwa wa majina yao ni Dully Sykes (Bongo Fleva), Awadh Mahsen ‘Dk. Cheni’ (Bongo Movies), Barnaba Elias (Bongo Fleva), Jumanne Kihangala ‘Mr. Chuz’, Kiwewe, Lingo, Tito na Mboto (wote kutoka Bongo Movies).
Wengine ni Rahim Rummy Nanji ‘Bob Junior’ (Bongo Fleva), Elibariki Emanuel ‘Nay wa Mitego’ (Bongo Fleva), Young D, Dogo Aslay, Sam wa Ukweli na Ali Kiba (wote Bongo Fleva), Jacob Steven (JB) (Bongo Movies), Vicent Kigosi ‘Ray’ (Bongo Movies).
Barnaba Boy.
MASTAA WASAKWA
Dk. Cheni: “Ni kweli namfahamu kuwa ni msanii wa filamu, lakini si kwa masuala ya mapenzi.”
Barnaba: “Simfahamu! Mwanamke mwenye uhusiano na mimi ni mama Steve (mkewe) peke yake. Huyo mnayemsema inawezekana namfahamu kikazi tu na si kimapenzi.”
Dully: “Mimi nimeoa, nina watoto siwezi kuwa na mwanamke mwingine pembeni. Mke wangu ananitosha, hata yeye anafahamu kuwa mimi siyo mchepukaji.”
Bob Junior: “Simjui mtu huyo.”
Msanii wa filamu Bongo, Vicent Kigosi, 'Ray'.
Sam wa Ukweli: (hakupatikana hewani).
Young D: “Simjui huyo demu.”
Dogo Aslay: “Simjui huyo mwanamke, halafu sikia, sitaki uniulize habari za huyo mtu.”
Mboto: (hakupatikana hewani).
JB: “Hilo jina hata silikumbuki kama nimewahi kulisikia.”
Ray: (hakupatikana hewani).
Mr. Chuz: “Labda namfahamu, lakini itakuwa kikazi zaidi. Tehe! Tehe!”
Kiwewe: (hakupatikana hewani).
Tito: (hakupatikana hewani).
+

Monday 15 December 2014

BIRDMAN KUMFIKISHA LIL WAYNE MAHAKAMANI!!!

Birdman amekataa kumuacha Lil Wayne atoke kwenye recording label yake ya Cash Money music richa ya maneno yote yanayosemwa na Lil Wayne kutokuwa mazuri kwa bosi huyo. Birdman amekasirishwa saana na maneno ya Lil Wayne ambae amedai anapoteza kipaji chake kwa kuchelewa kutoa albam mpya sokoni hali iliyompelekea weezy kuanza kutupa vijembe mitandao kwa kutweet maneno haya “I want off this label and nothing to do with these people.”
Birdman ameapa kumfikisha Lil Wayne mahakamani iwapo atakwenda kinyume na mkataba wao na kuongeza ya kuwa Weezy ni msanii na sio mfanya biashara hivyo hakuna analolijua
Birdman amepanga kuachia albam hiyo kwa muda wake hali inayomfanya Lil Wayne ajiite mfungwa wa cash money
Hizi ni sehemu ya Tweet za Lil Wyne
WEEEZ3
+

ZARI VS HUDDAH WATAMBA NA MIKOKO YA KUFUNGA MWAKA









Zari the boss lady kwa sasa amerejea nchini Uganda tayari kujiaandaa na show yake ya all white party ikiwa ni siku wiki chache toka kuvuja kwa mkanda wake wa ngono kwenye mitandao ya kijamii kupelekea kuandamwa na matusi kutoka kwa mashabiki na skendo kadhaa za kuwa na mahusiano na Diamond.
Zari amerejea Kampala na mkoko mpya ambao ni convertible Mercedes Benzi yenye uwezo wa kujibadili
Inasemekana pia huenda gari hilo limetoka kwa aliekuwa mumewe Ivan
zari-ride Lakini diva wa Kenya nae Huddah Monroe hakuwa mbali kwenye msimu huu wa sikuu baada ya kununua mkoko aina ya Range rover
Nakuliandikia maneno yafuatayo kwenye mitandao ya kijamii
Ombea adui yako aishi siku nyingi . Ili unapo barikiwa ajioneeeee!… . No one can block the blessings that God has planned for you because Who Jah bless , no man curse! This is a GIFT from GOD! MY Aphrodisiac,My Dime Piece, my Husband, . Christmas just came early! #Thankful! #RangeRover #Anon #SexOnWheels #Blessings #BossChick!
Star huyo hivi karibuni alionekana na moja ya don wa nchini Uganda ambae ni Lawrence, inasemekana huenda gari hilo limetoka kwa jamaa huyo
Unknown
+

MAKOMANDO WAWAOKOA MATEKA SYDNEY, WAMUUA MTEKAJI



Huyu ndiye mtekaji raia wa Iran, Haron Monis.
WATU watatu wameuawa akiwemo mtekaji raia wa Iran, Haron Monis aliyekuwa ameteka watu kwa zaidi ya saa 16 katika mgahawa mmoja jijini Sydney nchini Australia jana baada ya Makomando kuvamia eneo hilo. Watu wanne akiwemo polisi wamejeruhiwa wakati wa zoezi la uokoaji.

Mmoja wa majeruhi akipatiwa huduma ya kwanza.
Mtekaji huyo alikuwa ameachiwa kwa dhamana kwa makosa mbalimbali aliyokuwa ameshitakiwa nayo. Moja ya makosa yake ilikuwa kuwatumia barua ya matusi wazazi wa wanajeshi wa Australia waliofariki wakiwa wanalitumikia jeshi la taifa hilo nchini Iraq.
Waziri Mkuu wa Australia, Tony Abbott alisema lilikuwa jambo la kushtua sana kwamba wananchi wasio na hatia kutekwa nyara na mtu ambaye alikuwa anashinikizwa kisiasa.
Makomando walifyatua risasi na kisha kuingia ndani ya mgahawa huo huku wakirusha magurunedi.
+

ROLENE STRAUSS WA AFRIKA KUSINI ASHINDA TAJI LA MISS WORLD 2014


Miss World 2014, Rolene Strauss wa Afrika Kusini.
Miss World 2014, Rolene Strauss akipozi na mshindi wa pili Edina Kulcsar wa Hungary na Elizabeth Safrit wa Marekani aliyekuwa mshindi wa tatu.
Washereheshaji wa shindano hilo Miss World 2013, Megan Young akiwa na mtangazaji wa Tim Vincent.
Washiriki wakicheza katika mavazi ya mataifa yao jana katika fainali za Miss World 2014 jijini London.
Miss Mongolia Battsetseg Turbat akifanya yake stejini.
 Miss Bolivia, Andrea Forfori Aguilera akifanya yake stejini.
Miss Gabon, Miss Ethiopia, Miss Curacao na Miss Chad stejini.
Rolene Strauss wa Afrika Kusini ameshinda taji la Miss World 2014 jijini London usiku huu, Edina Kulcsar wa Hungary akishika nafasi ya pili na Elizabeth Safrit wa Marekani akichukua nafasi ya tatu.
Rolene ana umri wa miaka 22, ni mwanafunzi wa mwaka wa nne wa shahada ya udaktari na anapendelea kucheza michezo ya golf, netiboli, kuendesha baiskeli na kujisomea vitabu vya burudani na elimu.
Washindi walioingia Tano Bora mwaka huu walikuwa kutoka Uingereza, Marekani, Hungary, Australia na Afrika Kusini.
+

GARI LA DIAMOND LAMCHEFUA WEMA


LILE ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’, limeanza kumchefua mrembo huyo kiasi cha kulisusa.
Ndinga aina ya Nissan Murano alilozawadiwa supastaa Wema Sepetu na aliyekuwa mchumba wake, Nasibu Abdul ‘Diamond'.
Tukio hilo lilijidhihirisha wazi juzikati nyumbani kwa staa huyo, Kijitonyama jijini Dar, ambapo Wema alitamka hadharani kuwa kwa sasa analichukia kupita maelezo gari hilo alilozawadiwa na Diamond kwenye sherehe yake ya kuzaliwa.
Wema Sepetu akitafakari jambo.
“Bwana acha nitumie hili gari lingine kwenda airport hilo Murano sitaki hata kulisikia, sijui najisikiaje hata nikiliona,” alisikika Wema.
“Siku hizi sipendi kutumia hili Murano tena nalichukia kweli, inafikia kipindi nakosa raha nikiliona lakini ukiniuliza sababu ya kulichukia kiasi hicho hata sina sijui nimezoea sana kutumia BMW, ndiyo maana najikuta nalichukia gari hili,” alisema Wema.
Nasibu Abdul ‘Diamond'akipozi.
Kwenye bethidei yake iliyofanyika Septemba, mwaka huu, Wema alizawadiwa magari mawili. La kwanza lilikuwa ni BMW 545i (Sh. Milioni 56) ambalo liliibua utata juu ya mtu aliyemzawadia na la pili ni Nissan Murano (Sh. milioni 36) alilopewa na Diamond.
+