Monday, 29 December 2014

Leave a Comment

THE MBONI SHOW KUHAMIA TBC 1

Mboni Masimba akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).
Gladys Chiduo ‘Zipompa’ akizungumza na wanahabari (hawapo pichani).
Mshereheshaji Gladys Chiduo ‘MC Zipompa’ (kushoto), Mboni, Kaimu Mkurugenzi wa Masoko TBC1, Fadhili Chilumba na Ofisa Masoko wa PSPF, Magira Werema (anayeongea).
Bango la kipindi cha The Mboni Show.
Waandishi wa habari waliokuwa katika hafla hiyo.
KIPINDI cha mwanadada Mboni Masimba kilichokuwa kinarushwa katika East Africa  Television (EATV), kinatarajiwa kuonyeshwa katika Televisheni ya Taifa (TBC1).
Akizungumza na wanahabari, Mboni alisema kuanzia Januari 2 mwakani, kipindi cha The Mboni Show kitakuwa kinarushwa na TBC1 kwa udhamini wa Mfuko wa Pensheni wa Watumishi wa Umma (PSPF) ili uongeza wigo wa watazamaji wake.

0 comments: