Cristiano
Ronaldo akiwa kwenye mavazi ya kiislam akipiga picha na mashabiki huko
Dubai.Mchezaji nyota wa mpira wa miguu anaeichezea timu kubwa tajiri
duniani Real Madrid alionekana na kupigwa picha na mapaparazi kwenye
matembezi yake binafsi Dubai akiwa amevalia mavazi ya Kiislam na
yaliompendeza sana.Cristiano Ronaldo ambaye yeye si Muislam lakini
alipendezwa na uvaaji huo kwani alisema aliona watu wengi waishio Dubai
ndio vazi lao kuu na kwanini yeye asiwe miongoni mwa waliovaa vazi hilo.
Pia hakuwahi kuvaa vazi la dini hiyo alionelea avae kwa ishara ya
kuiheshimu dini hiyo na kuona sio kitu kibaya kuwa miongoni kwao
kimavazi.
Cristiano
Ronaldo akiwa kwenye vazi jingine la kiislamu huko DubaiMchezaji huyo
alikuwa Dubai wiki iliyopita kwenye mapumziko yake binafsi mbali na
shughuli za kimpira. Alienda kutembea huko kabla ya wiki ya sikukuu za
christimas. Alionekana ni mwenye kufurahishwa na mandhali ya mji huo pia
utamaduni wao wa chakula pia kimavazi ndio mana nae alipendezwa kuvaa
kama wao.
Vazi
lingine alilovaa mchezaji Cristiano Ronaldo akiwa kwenye matembezi yake
binafsi Dubai.Mchezaji huyo alikaa Dubai kwa siku nne wiki ilopita na
baadae aliondoka kurejea Hispania ambapo alijiunga na wachezaji wenzake
kwenye kambi ya maandalizi ya mechi zilizoendelea katika ligi ya ichi hiyo anakochezea
0 comments:
Post a Comment