Waziri
wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazalo Nyalandu
alisalimia wananachi baada ya kuwasili na mkewe Faraja Kota kwenye
Mkutano wa jimbo uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Michezo wa Ilongelo,
jimboni humo.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazalo Nyalandu
alisalimia wananachi baada ya kuwasili na mkewe Faraja Kota kwenye
Mkutano wa jimbo uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Michezo wa Ilongelo,
jimboni humo.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazalo Nyalandu
alisalimia wananachi baada ya kuwasili na mkewe Faraja Kota kwenye
Mkutano wa jimbo uliofanyika kwenye Uwanja wa Michezo wa Ilongelo,
jimboni humo.
Mwimbaji wa muziki wa Injili, Frola Nkone akiimba kutumbuiza wakati wa mkutano huo.
Mwanamuziki wa muizki wa Injili, Rose Mhando akiimba kutumbuiza wananchi katika mkutano huo wa Nyalandu.
Steve
Nyerere ambaye ni Msanii na Kamanda wa Umoja wa Vijana wa CCM,
akizungumza kabla ya kumwaga vimbwanga vyake vya kuingiza sauti za
viongozi mbalimbali wakati wa mkutano huo wa Nyalandu.
KABLA YA MKUTANO
Nyalandu
na Mkewe Faraja Kota wakiingia kwenye Kanisa la KKKT Usharika wa
Ilongelo kwa ajili ya ibada maalum. Pamona nao ni watoto wao Sera na
Christopher kabla ya kwenda Uwanjani kutangaza azma yake ya kuwania
Urais 2015.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu
akitoa neno la shukrani baada ya ibada maalum katika katisa la KKKT
Usharika wa Ilongelo jimboni humo.
Waziri
Nyalandu akiwa na watoto wake wakati wa ibada maalum iliyofanyilka
katika Kanisa la KKKT Usharika wa Ilongelo Jimbo la Singida Kaskazini.
Mbunge
wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu akitoa sadaka wakati wa ibada
maalum iliyofanyika katika Kanisa la KKKT Usharika wa Ilongelo jimboni
humo.
Mke wa NYalandu, Faraja Kota akipita baada ya kutoa sadaka kwenye kanisa hilo la KKKT Usharika wa Ilongelo.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu
akizungumza na viongozi wa shule ya Kiislam ambayo huhudumia watoto wa
dini zote katika kata ya Ilongelo, shule hiyo ina watoto 74.
Waziri
wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu akisalimia waumini kwenye Kanisa
la FPCT katika jimbo la Ilongelo alipofika kwa ajili ya ibada maalum.
Nyalandu na Mkewe wakitoka katika Kanisa la FPCT baada ya kuhudhuria ibada maalum asubuhi.
Mbunge
wa Singida Kaskazini, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu
ametangaza rasmi kuwania Urais wa Tanzania katika uchaguzi mkuu mwakani.
Amesema
amechukua uamuzi huo baada ya kuona kwamba anao uwezo wa kuiongoza
Tanzania, katika harakati za kuwafikisha kwenye maendeleo endelevu
wanayotaka Watanzania.
Amesema,
yuko tayari kushindanishwa na Watanzania wengine watakaoona kuwa
wanafaa kuwa Rais, lakini akisema kwanza kila atakayejitokeza itabidi
kazi zake zipimwe kwa moto na endapo zitayeyuka hafai.
Nyalandu
ambaye alitangaza uamuzi huo kwenye Uwanja wa Michezo wa Ilongelo jimbo
la Singida Kaskazini, alisema, yeye anaingia kwenye kinyang'anyiro
akiwa kifua mbele kutokana na kuamini kwamba amekwishafanyakazi
zilizotukuka.
"Kazi
zangu nilizofanya zinajulikana na ninaziamini kwamba ni nzuri, hivyo
yeyote atakayetaka urais apimanishwe na mimi kwa kupimwa kazi zetu kwa
moto", alisema Nyalandu
Itakapofika
siku ya siku, nitaenda Dodoma nikisindikizwa na wana Singida Mashariki,
na wengine wengi kutoka pembe zote za Tanzania, kwenda Dodoma kuchukua
fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM", alisema.
Mkutano
huo wa jimbo ambao ulipambwa na shamrashamra mbalimbali zikiwemo za
wasanii wakiwemo kina Rose Mhando, ulifurika maelfu ya wananchi
waliohamasika kumsikiliza Nyalandu.
0 comments:
Post a Comment