Mtaa wa Ohio katikati ya jiji ulivyokuwa umekumbwa na maji.
Hali ilivyokuwa maeneo ya Mwananyamala A.Maeneo ya Hongera, Sinza, nayo yalijaa maji. Maeneo ya Afrika Sana yalionja adha ya mvua hiyo kama sehemu nyingine nyingi. Hapa ni eneo la Mwenge-Bamaga ambalo nalo liliathirika vibaya.
MTANDAO wetu leo umefanikiwa kuzunguka baadhi ya
maeneo katika viunga vya jiji la Dar es Salaam na kujionea baadhi ya
maeneo baada ya mvua kubwa ‘kuanguka’ katika jiji hili na maeneo ya
jirani na kusababisha adha kubwa kwa wakazi wake.
MVUA
kubwa iliyonyesha leo imesababisha mafuriko katika mitaa mbalimbali ya
Jiji la Dar es Salaam na kuleta usumbufu kwa wakazi wa jiji hilo kama
inavyoonekana pichani juu.
0 comments:
Post a Comment