Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda (kulia) akijaribu kumtoka beki wa Azam FC.
TIMU za Yanga na Azam FC leo zimeshindwa kutambiana baada ya kutoka
sare ya bao 2-2 kwenye mtanange wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Azam yamewekwa kimiani na Didier Kavumbagu katika dakika ya 5 huku la pili likifungwa na John Bocco, dakika ya 65. Mabao ya Yanga ymefungwa na Amissi Tambwe katika dakika ya 7 pamoja na Simon Msuva dakika ya 51.

0 comments:
Post a Comment