Kikosi
cha timu ya Chelsea kikiongozwa na kocha wao, Jose Mourinho baada ya
kutangazwa mabingwa wa Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One Cup
2014/15 usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Wembley kufuatia ushindi wa mabao
2-0 dhidi ya Tottenham.
Kombe hili ni la kwanza kwa kocha Mourinho tangu ajiunge kwa mara nyingine klabuni hapo mwaka 2013 akitokea nchini Hispania alikokuwa akiifundisha miamba ya soka nchini humo Real Madrid.
Tottenham (4-2-3-1): Lloris 6; Walker 5.5, Dier 5.5, Vertonghen 6, Rose 5.5; Bentaleb 5, Mason 5.5 (Lamela 71 6); Chadli 5.5 (Soldado 80), Eriksen 6.5, Townsend 5.5 (Dembele 62 6); Kane 5.
Subs not used: Vorm, Davies, Fazio, Stambouli,
Booked: Dier, Bentaleb
Manager: Mauricio Pochettino 5
Chelsea (4-3-3): Cech 7; Ivanovic 7, Cahill 7.5, Terry 8.5, Azpilicueta 7; Ramires 6.5, Zouma 6; Hazard 7.5, Fabregas 7.5 (Oscar 88), Willian 7 (Cuadrado 76); Diego Costa 8 (Drogba 90).
Subs not used: Courtois, Filipe Luis, Ake, Remy.
Booked: Cahill, Cuadrado, Willian
Manager: Jose Mourinho 7.5
Referee: Anthony Taylor 7
MOTM: Terry
Attendance: 89,297
Wakishangilia ni wchezaji wa Chelsea, Cesc Fabregas (kushoto), Cesar Azpilicueta (katikati) na Diego Costa (kulia).
CHELSEA imetwaa ubingwa wa Kombe la Ligi, maarufu
kama Capital One Cup usiku wa leo Uwanja wa Wembley kufuatia ushindi wa
mabao 2-0 dhidi ya Tottenham.Kombe hili ni la kwanza kwa kocha Mourinho tangu ajiunge kwa mara nyingine klabuni hapo mwaka 2013 akitokea nchini Hispania alikokuwa akiifundisha miamba ya soka nchini humo Real Madrid.
Tottenham (4-2-3-1): Lloris 6; Walker 5.5, Dier 5.5, Vertonghen 6, Rose 5.5; Bentaleb 5, Mason 5.5 (Lamela 71 6); Chadli 5.5 (Soldado 80), Eriksen 6.5, Townsend 5.5 (Dembele 62 6); Kane 5.
Subs not used: Vorm, Davies, Fazio, Stambouli,
Booked: Dier, Bentaleb
Manager: Mauricio Pochettino 5
Chelsea (4-3-3): Cech 7; Ivanovic 7, Cahill 7.5, Terry 8.5, Azpilicueta 7; Ramires 6.5, Zouma 6; Hazard 7.5, Fabregas 7.5 (Oscar 88), Willian 7 (Cuadrado 76); Diego Costa 8 (Drogba 90).
Subs not used: Courtois, Filipe Luis, Ake, Remy.
Booked: Cahill, Cuadrado, Willian
Manager: Jose Mourinho 7.5
Referee: Anthony Taylor 7
MOTM: Terry
Attendance: 89,297
0 comments:
Post a Comment