Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri.
Aliyekuwa Kocha msaidizi, Selemani Matola (kushoto) akifuatilia mazoezi.
Klabu
ya Simba imewafukuza kazi Kocha Patrick Phiri raia wa Zambia na
msaidizi wake Selemani Matola kutokana na matokeo mabaya ya timu.
0 comments:
Post a Comment