
Birdman amekataa kumuacha Lil Wayne atoke kwenye recording label yake
 ya Cash Money music richa ya maneno yote yanayosemwa na Lil Wayne 
kutokuwa mazuri kwa bosi huyo.
Birdman amekasirishwa saana na maneno ya Lil Wayne ambae amedai 
anapoteza kipaji chake kwa kuchelewa kutoa albam mpya sokoni hali 
iliyompelekea weezy kuanza kutupa vijembe mitandao kwa kutweet maneno 
haya “I want off this label and nothing to do with these people.”
Birdman ameapa kumfikisha Lil Wayne mahakamani iwapo atakwenda 
kinyume na mkataba wao na kuongeza ya kuwa Weezy ni msanii na sio mfanya
 biashara hivyo hakuna analolijua
Birdman amepanga kuachia albam hiyo kwa muda wake hali inayomfanya Lil Wayne ajiite mfungwa wa cash money
Hizi ni sehemu ya Tweet za Lil Wyne

 
 
0 comments:
Post a Comment