Aisha Madinda - enzi za uhai wake.
Aisha Madinda - enzi za uhai wake akitambulishwa na Ally Choki alipojiunga na Extra Bongo.
ALIYEKUWA mnenguaji na mwimbaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Madinda amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa ASET, Asha Baraka amethibitisha kutokea kifo hicho na kuongeza kuwa mwili wa marehemu kwa sasa umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
0 comments:
Post a Comment